BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Friday, June 21, 2019
Thursday, June 20, 2019
ISHI MAISHA YAKO, USIWE MTU WA CHUKI, SAMBAZA UPENDO
Kuna watu wenye chuki, ambao kwa sababu tusizozijua, wanaamua kutuchukia, kwa jinsi tulivyo au kwa kile tunachofanya.
Wengi
wamekuwa wanashangaa inakuwaje watu wawachukie, na hili ni kupoteza
muda. Watu wenye chuki huwa wanachukia, na huna lolote unaloweza kufanya
kuwafanya wasikuchukie.
Watu
wenye chuki hawabadiliki na kuacha kuwa na chuki kwa sababu wewe
umefanya kitu fulani, bali wataendelea kupata sababu za kuwa na chuki
zaidi.
Hivyo
badala ya kuishi maisha ya kutaka kuwaridhisha wengine, hasa wale wenye
chuki, ishi maisha yako, fanya kile ambacho ni muhimu kwako na simamia
kile unachoamini.
Wenye chuki watachukia iwe unaishi maisha yako au unafanya wanachotaka wao.
Usiyumbishwe na wenye chuki, chagua kuyaishi maisha yako.
Na kwa upande wa pili, usiwe mtu wa chuki, sambaza upendo.
Subscribe to:
Posts (Atom)