Saturday, May 14, 2016

BABA WA TAIFA ALIPOZUNGUMZA UNO KWA MARA YA KWANZA 1955 KUDAI UHURU WA TANGANYIKA



Picha hii chini  ilipigwa tarehe 17 February 1955 Uwanja wa Ndege Dar es Salaam siku Mwalimu Nyerere alipoondoka kwenda
UNO kuanzia kushoto ni Rashid Sisso, Robert Makange, Zuberi Mtemvu, Iddi Faizi Mafonfo, Julius Nyerere, John Rupia,
Titi Mohamed, Mtemvu ameshika mkoba wa Nyerere uliokuwa na hotuba yake