BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE.
Thursday, April 16, 2020
Wednesday, April 15, 2020
JINSI YA KULIPWA UKIWA NYUMBANI----ONGEA NA KOCHA / COACH MWL JAPHET MASATU
Watu wengi wamezoea biashara ni mpaka utoke nyumbani na kwenda kwenye ofisi au eneo jingine la biashara na ukutane na wateja.
Lakini mapinduzi ya kiteknolojia yameshabadili hilo.Sasa unaweza kufanya biashara na kulipwa ukiwa nyumbani kwako, bila hata ya kukutana na wateja.
Hii ni kupitia mtandao wa intaneti.
Hatua ya kwanza ya kulipwa mtandaoni, ni kuwa na blog.
Blog ndiyo inakuwa duka lako la mtandaoni, ambapo wale wenye uhitaji wa unachotoa watakuja na kukutana na wewe.
Baada ya hapo, kuna namna ya kuwapa thamani zaidi na wao wakakulipa.
HUHITAJI MTAJI ILI KUANZA .
Uzuri
ni kwamba, kuigiza kipato mtandaoni kwa kutumia blog huhitaji kuwa na
mtaji wowote wa kuanzia, kama unaweza kusoma hapa, basi kifaa hicho
hicho unachotumia kusoma ndiyo unaweza kukitumia kuendesha blog yao.
Kama
unatumia kompyuta hiyo hiyo inakutosha kufanya biashara hii. Na hata
kama unatumia simu pekee, inakutosha sana kuweza kufanya biashara hii.
Unachohitaji
kuwa nacho ni kitu kinachoongeza thamani kwenye maisha ya wengine na
utayari wa kutoa thamani hiyo halafu kuwa na njia bora ya kulipwa na
baada ya hapo kuweka kazi hasa.
JE , WAHITAJI KUWA NA BLOG YAKO ??? WASILIANA NA KOCHA MWL JAPHET MASATU ------ 0716 924136 / 0755 400128 / 0688 361 539
JE , WAHITAJI KUWA NA BLOG YAKO ??? WASILIANA NA KOCHA MWL JAPHET MASATU ------ 0716 924136 / 0755 400128 / 0688 361 539
Tuesday, April 14, 2020
Subscribe to:
Posts (Atom)