ANAYEFANIKIWA NI YULE ANAYEJIJUA , ANAYEJITAMBUA
MAFANIKIO YA PESA kwa asilimia kubwa yako ndani ya KIPAJI CHAKO.
Hapa duniani , watu waliofanikiwa wana kitu kinachofanana. WANAPENDA WANACHOFANYA. Huwezi kuwakuta watu waliofanikiwa WAKICHUKIA WANACHOFANYA. Tabia hii wanayo watu wanaojiona ni MASKINI. Unafikiri ni MASKINI WA NINI ? NI MASKINI WA AKILI . Tabia yao hawa WANACHUKIA WANACHOFANYA.
UNAWEZAJE KUFAHAMU KIPAJI CHAKO ?
---Fikiria MICHEZO uliyokuwa unapendelea utotoni. Nini ulikuwa unapendelea pindi ulipokuwa mdogo. Ulifikiria kuwa nani ukubwani ?
---Waambie rafiki zako wa karibu kuwa , unataka KUTAFITI KUJUA KIPAJI CHAKO na unahitajji MAWAZO YA KWELI KUTOKA KWAO.
--TUNAJINYIMA Wenyewe FURSA ya kupata PESA kwa sababu ya KUPUUZA VIPAJI VYETU. Kila MTU ana jambo analoliweza , pia kukiwa na MAMILIONI YA MAMBO ASIYOYAWEZA
---TUWACHUNGUZE WATOTO WETU WANAPENDELEA NI NI ?WANAWEZA NINI ?
---GUNDUA KITU UNACHOKIPENDA !!
No comments:
Post a Comment