UANDISHI na UTUNZI wa VITABU , MASHAIRI , RIWAYA , VITABU VYA KITAALUMA ( MASOMO ) ni njia na sanaa ya kukupatia PESA. Waandishi maarufu kama akina CHINUO ACHEBE , SOCRATES , SHAABAN ROBERT , NAPOLEON HILL , CARL MAX , HERODOTUS na PINDAR wanakumbukwa na kuenziwa hadi dakika hii kwa kazi zao. Hata sasa wapo waandishi wengi tu , ukipenda hata wewe unaweza kuwa mmoja wao.
Unaweza kutunga kitabu kuhusu suala lolote ambalo linaweza kuelimisha jamii au kuburudisha jamii. Kwa mfano unaweza kutunga kitabu cha hadithi na unaweza kueleza kuhusu jambo lolote lile.
KUANDIKA KITABU inagharimu sana MUDA na KICHWA --- AKILI. UNAWAZA NA KUWAZUA. UANDIKE NINI / KIPI UACHE KIPI ! NI SANAA NGUMU LAKINI MWISHO WA SIKU INALIPA. TAFUTA mada --- kitu unachoona kitaifaa jamii yako ya sasa na vizazi vijavyo kisha kiweke katika MAANDISHI.
No comments:
Post a Comment