BADILI FIKRA.FIKIRI TOFAUTI .BADILI MAISHA.JITAMBUE .JIFUNZE ELIMU YA SAIKOLOJIA,TEOLOJIA , FEDHA ,UTAMBUZI(SELF HELP EDUCATION),FALSAFA YA MAISHA,MAISHA NA MAFANIKIO,BIASHARA / UJASIRIAMALI.FURAHIA WASAA WAKO NA MAISHA NA MAFANIKIO BLOGU.THIS IS THE COMMUNITY CAPACITY BUILDING BLOG.ENJOY THE BLOG.STRETCH YOUR MIND. YOU CAN CHANGE YOUR LIFE FOR EVER. YOU CAN ACHIEVE EXCELLENCE.YOU CAN MAKE A DIFFERENCE. JIFUNZE ---ELIMIKA --CHUKUA HATUA---FANIKIWA
SOMA VITABU KILA SIKU
▼
Thursday, April 16, 2020
UJASIRIAMAARIFA , LIPWA KWA MAARIFA NA TAARIFA ULIZONAZO.
Tunaishi kwenye zama za TAARIFA na / MAARIFA ,Hivyo mwenye maarifa na taarifa zenye manufaa makubwa kwa wengine, ndiyo wanaonufaika sana.Na hapo kuna aina mpya ya ujasiriamali ambao unahusisha maarifa, ambao tunauita UJASIRIAMAARIFA.Kupitia ujasiriamali huu, unaweka maarifa na taarifa ulizonazo kwenye
kifurushi ambacho wengine wanaweza kununua kama nakala ngumu (HARDCOPY ) au tete.( SOFTCOPY )
Unaweza kujifunza kwa kina kuhusu ujasiriamaarifa katika Mada ya JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA MTANDAONI KWA KUTUMIA BLOG. Una maarifa na taarifa nyingi, anza kuziuza sasa .
WASILIANA NA KOCHA MWL JAPHET MASATU AKUTENGEHEZEE BLOG YAKO LEO NA UJUE JINSI YA KUFANYA HIVYO. ----- Call / SMS / WhatsApp / +255 716924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
No comments:
Post a Comment