Sekta
ya Usafirishaji ni sekta ya mamilioni ya PESA duniani kote .
Kila kukicha watu wanasafiri : kuwe na mdororo wa kiuchumi watu
watasafiri hivyohivyo. Sasa ni kwanini usitupie jicho lako
kwenye sekta hii na uanze kutengeneza PESA ? Kama unataka
kufanya uwekezaji kwenye sekta hii.
Biashara
ya Usafirishaji ni biashara pana ambayo inajumuisha magari ya
abiria na magari ya mizigo. Ni biashara yenye faida sana ,
inayohitaji MTAJI mkubwa na usimamizi wa hali ya juu ili
kudhibiti WIZI WA MAPATO.
Kwa Kujifunza Zaidi na Kugundua FURSA zilizojificha katika SEKTA hii ya " USAFIRISHAJI , UCHUKUZI NA UTALII JIUNGE NA " DARASA LA SEMINA AU " FURSA AFRIKA MASHARIKI BLOG " KWA KULIPA ADA YA UANACHAMA ili uweze Kuzifanyia Kazi na KUFANIKIWA.
Ndimi Rafiki na Kocha Wako Mwl Japhet Masatu , Dar es salaam , Afrika Mashariki , Tanzania
WhatsApp / Call / Message + 255 716 924136 / + 255 755 400128 / + 255 688361539
EMAIL : fursaafrikamashariki@gmail.com
No comments:
Post a Comment