“Victory belongs to the most persevering.” - Napoleon Bonaparte
Ushindi unaenda kwa wale ambao ni ving’ang’anizi na wavumilivu.
Huwa tunawaangalia wale waliofanikiwa na
kupenda sana kufika walipofika. Lakini sisi wenyewe kuna vitu vingi
ambavyo tulishawahi kuanza kwenye maisha yetu, lakini havikutufikisha
mbali, kwa sababu tulikosa ung’ang’anizi na uvumilivu.
Sasa chagua kitu kimoja au vichache
unavyotaka kwenye maisha yako, kisha weka juhudi zako zote na usikate
tamaa mpaka umekipata, na ninakuhakikishia utakipata. Maana washindi
wote wameng’ang’ana na kupata walichotaka.
No comments:
Post a Comment