MADUKA yapo aina nyingi. Bidhaa tofauti tofauti. Unataka la aina gani ? , bidhaa gani ? NGUO , VIATU , VIPODOZI , VYAKULA ---- VIFAA VYA UJENZI , UMEME , VYOMBO VYA NDANI , n.k. SPEA / VIPURI VYA PIKIPIKI , BAISKELI , MAGARI bado ni biashara nyingine.
UNANUNUA , UNAUZA , UNANUNUA , UNAUZA ----- UGUMU HAKUNA. UPO HAPO ? NDUGU YANGU ?
NENDA TRA WAMBIE NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DUKA FULANI. WATAKUPATIA UTARATIBU MZIMA. HAPO NDIPO KWA KUANZIA.
Unaweza kuanza na KIOSK / GROCERY. SABUNI KIDOGO , VIBERITI , MAFUTA YA KULA , PIPI , N.K. Baada ya muda utakuwa na DUKA NA MADUKA MAKUBWA na KUUZA BIDHAA UNAZOZITAKA.
MUNGU AKUBARIKI KWA KUSOMA MAKALA HAYA.
No comments:
Post a Comment